Kakuma: Elimu-Wasalesia wa Don Bosco

Wasalesiani wa Don Bosko wa kakuma

Kakuma: Elimu-Wasalesia wa Don Bosco logo
Sasisho la Mwisho: 19/3/2024

Maelezo

Elimu 

  • Masomo ya lugha: Kiingereza na Kiswahili 
  • Madarasa ya kujifunza kusoma na kuandika kwa Kiingereza na Kiswahili 
  • Kujiandikisha kwa madarasa yanayo endelea haihimzwi 
  • Kujiandikisha kwa madarasa kutafunguliwa tu katika kipindi hiki: Januari kwa kozi za TVET na kozi fupi za Januari na Julai 

Vigezo vya kuhitimu 

  • Huduma hutolewa kwa wote 

Jinsi ya kufikiwa 

  • Lugha ambazo ukalimani wake unapatikana kila mara kwa mara- Kiingereza. Kiswahili. Kiarabu 
  • Ufafanuzi wa lugha ya ishara unapatikana 
  • Huduma zinapatikana katika lugha zifuatazo kwa miadi pekee: Kiingereza. Kiswahili 
  • Wakalimani wa kike wanapatikana kwa lugha zifuatazo: Kiingereza. Kiswahili 
  • Lango la eneo hili lina njia y akupandia na kushukia
  • Eneo hili lina wafanyakazi wa kike 
  • Mahali hapa pana bafu tofauti kwa wanaume na wanawake 
  • Huduma zote zilizoorodheshwa ni za bure 
  • Kozi za biashara za uhasibu za KASNEB zinahitaji ada 
  • Katika kesi ya ugonjwa au majeraha yoyote, wanafunzi hutumwa kwa washirika wanaohusika 

Siku na wakati wa ufikiaji 

Huduma Zinazopatikana: Jumatatu-Ijumaa 7:30 asubuhi hadi 5:00 jioni Jumamosi 7:30 asubuhi hadi 12 jioni. 

Location

Don Bosco has seven centres:

  • Don Bosco along  Kakuma Mission Hospital opposite St. Michael Primary School 
  • Don Bosco 1 Kakuma 1 opposite Kakuma refugee secondary school  
  • Don Bosco 2 Kakuma 2 near the fuji laga 
  • Don Bosco 3 Kakuma 2 near clinic 5 
  • Don Bosco 4 Kakuma 3 Burundian market 
  • Don Bosco 5 Kalobeyei reception centre 
  • Don Bosco 6 Kalobeyei near equity bank

Anwani

Don Bosco along Kakuma Mission Hospital opposite St. Michael Primary School