Dadaab: Msaada wa Kisaikolojia- Windle International Kenya (WIK)

Windle International Kenya (WIK)

Dadaab: Msaada wa Kisaikolojia- Windle International Kenya (WIK) logo

Maelezo

Huduma zinazotolewa

  • Ushauri wa mtu mmoja mmoja 
  • Ushauri wa kikundi 
  • Msaada wa kihisia

Vigezo vya kuhitimu

  • Walengwa wa WIK. (Wasomi wa Elimu ya Juu, Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Msingi.) 
  • Huduma haihitaji rufaa 

Jinsi ya kufikiwa

  • Eneo hili lina wafanyakazi wa kike 
  • Mahali hapa pana bafu tofauti kwa wanaume na wanawake 
  • Huduma zote zilizoorodheshwa ni za bure 
  • Lugha ya Ishara Inapatikana 
  • Wakalimani wa Kike wanapatikana 

Siku na wakati wa ufikiaji

  • Jumatatu-Ijumaa: 8.30 A.M hadi 4.30 PM 
  • Huduma haipatikani wakati wa likizo ya umma 
  • Nambari ya bure ya simu: 0800720386 kwa ajili ya kuripoti kuhusu Ulinzi wa Watoto, Ukatili wa Kijinsia, Ukosefu wa Usawa wa Kijinsia, Ulaghai, na Rushwa. 

Eneo

Ofisi ya Dadaab  

Ofisi 1: ofisi ya DMO

Ofisi 2: Chuo kikuu cha Kenyatta, Dadaab, Kaunti ya Garissa

Nambari ya Ofisi: +254 720 708 346 

Email

windle@windle.org

Email

protection@windle.org

Email

integrity@windle.org