Nyumbani
Huduma
Taarifa
Kuhusu
Kiswahili
Nyumbani
Huduma
Taarifa
Kuhusu
Kiswahili
IFO 2: Msaada kwa Waathirika wa Ukatili- Save the Children International (SCI)
Sikiliza
Maelezo
Huduma Zinazotolewa
Msaada kwa waathirika wa ukatili (wa kijinsia, wa kimwili, wa kisaikolojia, au aina nyingine za ukatili)
Msaada kwa waathirika wa mateso
Msaada kwa waathirika wa biashara ya binadamu na unyanyasaji
Msaada kwa waathirika wa ubaguzi
Vigezo vya kuhitimu
Miaka 4-16
Jinsi ya kufikiwa
Huduma zinazotolewa ni bure
Siku na wakati wa ufikiaji
Kila siku saa mbili hadi saa saba
Muda wa kutoa maoni: Chini ya masaa 24
Anwani
Kambi ya wakimbizi ya Dadaab (Ifo 2 kando ya WFP RUB HALLS)
Simu
0722205207
Simu
0722610421
Website
https://kenya.savethechildren.net
Email
kenya.info@savethechildren.org