IFO 2: Usaidizi wa Kisaikolojia- Save the Children International (SCI)

Masaa ya ufunguzi
  Simu0722205207
  Simu0722610421
  Emailkenya.info@savethechildren.org
  Websitehttps://kenya.savethechildren.net
  Maelezo

  Huduma Zinazotolewa:

  •  Ushauri Binafsi
  • Ushauri kwa Kikundi
  • Ushauri wa Familia
  • Msaada wa Kihisia
  • Kikundi cha Msaada – vikao vya wazazi

  Vigezo vya kuhitimu

  • Miaka 4-16

  Jinsi ya kufikiwa

  • Nafasi salama na ya faragha kwa ushauri wa kibinafsi
  • Maeneo ya Kirafiki kwa Watoto
  • Huduma zilizoorodheshwa ni za bure.

  Anwani

  • Kambi ya Dadaab (Ifo 2 kando ya WFP RUB HALLS)
  • Siku na wakati wa ufikiaji: Kila siku saa mbili hadi saa saba

  Muda wa kutoa maoni

  • Chini ya masaa 24