IFO 2: Huduma za kijamii- Save the Children International (SCI)

Save the Children International (SCI)

IFO 2: Huduma za kijamii- Save the Children International (SCI) logo
Sasisho la Mwisho: 22/2/2024

Maelezo

Huduma zinazopatikana

 • Ushauri Nasaha
 • Maelezo kuhusu Huduma za jamii
 • Watoto Wanaoishi Peke Yao (UAMs) na watoto wanaoishi na wazazi wao wa kibaiolojia lakini wako katika hatari

Vigezo vya kuhitimu

 • Kesi za Rufaa zinahusisha huduma zifuatazo tu: Watoto wenye kesi za hatari kubwa kama vile Unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Watoto (SGBV)
 • Watoto walio chini ya umri wa miaka 17

Jinsi ya kufikiwa

 • Hakuna haja ya kuweka miadi
 • Mtu anaweza kuja binafsi, kupiga simu au kutuma barua pepe
 • Nafasi salama na ya faragha kwa ushauri binafsi - kupitia nafasi za kirafiki kwa watoto (CFS)
 • Ufuatiliaji endelevu ili kuhakikisha unaweza kupata msaada unaohitaji - kupitia dawati la msaada na ofisi za eneo

Cinwaanka jirka

Xerada Qaxootiga Dhadhaab (Ifo 2 oo ku xigta WFP RUB HLS)

Maalmaha gelitaanka iyo waqtiga

 • Laga bilaabo 8 subaxnimo ilaa 1 galabnimo xafiiska goobta
 • Waqtiga jawaab celinta: 24 Saac gudahood

Email

kenya.info@savethechildren.org