IFO 2: Ushauri Nasaha- Refugee Consortium of Kenya (RCK)

Refugee Consortium of Kenya

IFO 2: Ushauri Nasaha- Refugee Consortium of Kenya (RCK) logo

Maelezo

Huduma Zinazotolewa:

  • Ushauri binafsi 
  • Ushauri kwa kikundi 
  • Ushauri wa familia
  • Msaada wa kihisia 
  • Daktari wa saikolojia
  • Daktari wa akili 
  • Kikundi cha msaada 
  • Uzuiliaji wa dharura

Vigezo vya kuhitimu

  • Wateja wote wanapaswa kuwa wakimbizi/watafuta hifadhi

Jinsi ya kufikiwa

  • Nafasi salama na ya faragha kwa ushauri binafsi 
  • Ufuatiliaji ili kuhakikisha unaweza kupata msaada unaohitaji 
  • Mhudumu wa tafsiri ataandamana na wewe ili kukusaidia kupata huduma za umma
  •  Mlango wa kuingia katika eneo hili una njia ya kupandia 
  • Eneo hili lina wafanyakazi wa kike

Siku na wakati wa ufikiaji

  • Jumatatu-ijumaa :8am-5pm
  • Muda wa kutoa maoni: Chini ya masaa 24
  • Nambari ya usaidizi: 0700865559 

Mahali pa muda wanakopatikana RCK: Ofisi za HI-Kambi ya IFO 2