IFO 2: Huduma za Kijamii- Refugee Consortium of Kenya (RCK)

Refugee Consortium of Kenya

IFO 2: Huduma za Kijamii- Refugee Consortium of Kenya (RCK) logo

Maelezo

Huduma zinazopeanwa

 • Ushauri nasaha 
 • Maelezo kuhusu maisha katika nchi 
 • Maelezo kuhusu huduma za jamii
 •  Maelezo kuhusu mahali na jinsi ya kupata hati.
 •  Msaada katika jinsi ya kupata hati mpya 
 • Msaada katika kuandaa hati zinazohitajika kupata huduma za umma 
 • Maelezo kuhusu jinsi ya kuanzisha biashara katika nchi

Vigezo vya kuhitimu

 • Wateja wote wanapaswa kuwa wakimbizi/watafuta hifadhi

Jinsi ya kufikiwa

 • Nafasi salama na ya faragha kwa ushauri binafsi 
 • Ufuatiliaji ili kuhakikisha unaweza kupata msaada unaohitaji 
 • Mhudumu wa tafsiri ataandamana na wewe ili kukusaidia kupata huduma za umma
 • Mlango wa kuingia katika eneo hili una njia ya kupandia 
 • Eneo hili lina wafanyakazi wa kike

Siku na wakati wa ufikiaji

Jumatatu hadi ijumaa 8:00am-5:00pm

Muda wa kutoa maoni: Chini ya masaa 24

Nambari Ya Usaidizi: 0700865559

Mahali pa muda wanakopatikana RCK: Ofisi za HI-Kambi ya IFO 2