Hagadera: Usaidizi kwa Walionusurika na Dhuluma za Kijinsia– (IRC)

International Rescue Committee (IRC)

Hagadera: Usaidizi kwa Walionusurika na Dhuluma za Kijinsia– (IRC)  logo
Sasisho la Mwisho: 10/8/2023

Maelezo

Huduma

  • Usaidizi na matibabu kwa walioathirika na dhuluma za kijinsia - GBV
  • Usimamizi wa Utunzaji wa Kliniki kwa Waathirika wa Unyanyasaji wa Kijinsia,
  • Vikundi vya Msaada wa Kisaikolojia
  • Vipindi vya Kusikiliza
  • Rufaa kwa huduma/wakala zingine

Vigezo vya kustahiki

  • Watu wazima (zaidi ya miaka 18)
  • Huduma zinapatikana kwa jinsia zote
  • Huduma hutolewa kwa watu wa LGBTQI+ na watu wote binafsi
  • Watoto wanatumwa kwa mashirika ya ulinzi wa watoto/washirika

Accessibility

  • Lango la eneo hili lina mteremko wa kupandi an akushikia
  • Eneo hili lina wafanyakazi wa kike
  • Mahali hapa pana bafu na vyoo tofauti kwa wanaume na wanawake
  • Huduma zote zilizoorodheshwa ni za bila malipo
  • Ufafanuzi wa lugha za Kisomali, Kiswahili na Kiingereza unapatikana mara kwa mara katika eneo hili
  • Huduma zinapatikana katika lugha za Kisomali, Kiswahili na Kiingereza kwa tafsiri ya simu
  • Wakalimani wa kike wanapatikana kwa lugha za Kisomali, Kiswahili na Kiingereza

Eneo

  • Kambi ya Hagadera, kituo chamsaada ndani ya Hospitali kuu ya IRC

Masaa ya ufunguzi

Jumatatu:
08:00 AM - 05:00 PM
Jumanne:
08:00 AM - 05:00 PM
Alhamisi:
08:00 AM - 05:00 PM
Jumatano:
08:00 AM - 05:00 PM
Ijumaa:
08:00 AM - 05:00 PM