HAGADERA: Usaidizi wa Kisaikolojia kwa Jamii – International Rescue Committee (IRC)
International Rescue Committee (IRC)
Sasisho la Mwisho: 4/11/2024
Maelezo
Huuduma za Kisaikolojia
- Vikao vya ushauri wa kikundi na mtu binafsi
- Usimamizi wa Kesi ya GBV
- Usimamizi wa Utunzaji wa Kliniki kwa Waathirika wa Unyanyasaji wa Kijinsia,
- Vikundi vya Msaada wa Kisaikolojia
- Vipindi vya Kusikiliza
- Rufaa kwa huduma zingine
Vigezo vya kustahiki
- Watu wazima (zaidi ya miaka 18)
- Hakuna mahitaji ya appointment
- Huduma hizi zinapatikana kwa wanawake na wanaume
- Huduma hizi Zinapatikana kwa watu binafsi wa LGBTQI+
- Watoto wanatumwa kwa mashirika ya ulinzi wa watoto/washirika
Njia ya kupata huduma
- Lango la eneo hili lina mteremko wa kupandi na kushukia
- Eneo hili lina wafanyakazi wa kike
- Mahali hapa pana bafu na vyoo tofauti kwa wanaume na wanawake
- Huduma zote zilizoorodheshwa ni za bila malipo
- Ufafanuzi wa lugha za Kisomali, Kiswahili na Kiingereza unapatikana mara kwa mara katika eneo hili
- Huduma zinapatikana katika lugha za Kisomali, Kiswahili na Kiingereza kwa tafsiri ya simu
- Wakalimani wa kike wanapatikana kwa lugha za Kisomali, Kiswahili na Kiingereza
Eneo
- Kambi ya Hagadera, Kituo cha msaada, ndani ya Hospitali kuu ya IRC
Masaa ya ufunguzi
Jumanne:08:00 AM - 05:00 PM
Jumatatu:08:00 AM - 05:00 PM
Alhamisi:08:00 AM - 05:00 PM
Jumatano:08:00 AM - 05:00 PM
Ijumaa:08:00 AM - 05:00 PM