Hagadera: Afya ya uzazi- International Rescue Committee (IRC)
International Rescue Committee (IRC)
Sasisho la Mwisho: 10/8/2023
Maelezo
Huduma
- Afya ya Uzazi/ Ukuzaji afya ya jamii (CHP)/Ukimwi (HIV)/Kifua Kikuu (TB)/Watu walio katika hatari zaidi (MARPS)
- Huduma za Afya ya Uzazi
- Kuzuia Virusi Vya Ukimwi, Kupima, matibabu na huduma za matunzo
- Kinga ya Kifua Kikuu, Kutafuta kesi, matibabu na huduma za kinga
- Ukuzaji wa Afya ya Jamii
- Utunzaji Muhimu wa watu waliohatarini katika jamii pamoja na Matibabu na usaidizi wa Kisaikolojia
Vigezo vya kustahiki
- Hakuna mahitaji ya miadi
- Huduma hutolewa kwa wanaume na wanawake
- Huduma hutolewa kwa watu wazima na watoto
- Kliniki ya MARPS hutoa huduma kwa watu binafsi wa LGBTQI+
Jinsi ya kupata huduma
- Eneo hili lina wafanyakazi wa kike
- Mahali hapa pana bafu tofauti kwa wanaume na wanawake
- Huduma zote zilizoorodheshwa ni za bure
- Ufafanuzi wa lugha za Kisomali, Kiswahili na Kiingereza unapatikana mara kwa mara katika eneo hili
- Huduma zinapatikana katika lugha za Kisomali, Kiswahili na Kiingereza kwa miadi pekee
- Huduma zinapatikana katika lugha za Kisomali, Kiswahili na Kiingereza kwa tafsiri ya simu
- Wakalimani wa kike wanapatikana kwa lugha za Kisomali, Kiswahili na Kiingereza
Eneo
- Zahanati ya HIV/TB/MARPS, Hosptitali ya IRC ya Hagadera
- Zahanati ya Marps/VCT, Hospitali ya hagadera, wagonjwa wa nje, kando ya lango kuu
- Ofisi ya RH, kiwanja cha IRC, Hagadera IRC
- Ofisi za CHP, Vituo vya afya vya L6 and E6 CHP
- Ofisi ya CHP Hagadera IRC
Masaa ya ufunguzi
Jumatatu:08:00 AM - 04:00 PM
Jumanne:08:00 AM - 04:00 PM
Jumatano:08:00 AM - 04:00 PM
Alhamisi:08:00 AM - 04:00 PM
Ijumaa:08:00 AM - 04:00 PM
Jumamosi:08:00 AM - 01:00 PM