Huduma Nyingine za afya
- Msaada kwa watu walioathirika na matumizi ya dawa ya kulevya au pombe
- Huduma kwa watu wanaoishi na UKIMWI
- Ushauri nasaha kuhusu jinsi ya kuzuia virusi vya UKIMWI magonjwa ya zinaa
- Huduma kwa watoto ambao hawajaandama na na walezi au wazazi wao
- Msaada kwa watu wenye ulemavu na/au mahitaji maalum
- Usimamizi wa kesi kwa wagonjwa wa kiakili
Vigezo vya kupokea huduma
- Huduma ndani za KRCS hazihitaji onyesho lolote la hati
- Huduma zinazohitaji rufaa nje ya Dadaab zinaruhusiwa kwa wakimbizi waliosajiliwa pekee
Namna ya kufikiwa na wahudumu
- Huduma kwa wanawake wajawazito
- Huduma kwa akina mama wachanga