Huduma za Maji na usafi wa mazingira WASH (KCRS)
Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya
Sasisho la Mwisho: 10/8/2023
Maelezo
Huduma za maji na usafi wa mazingira (WASH)
- Vvyoo
- Bafu
- Huduma za kufua
- Nepi
Vigezo vya Kuhudumiwa
- Huduma ndani ya hospitali za KRCS hazihitaji onyesho lolote la hati
- Huduma zinazohitaji rufaa nje ya Dadaab zinaruhusiwa kwa wakimbizi waliosajiliwa pekee
Namna ya kufikiwa
- Vyoo tofauti vinapatikana kwa wanawake pekee
- Mahali pa kuogea tofauti zinapatikana kwa wanawake pekee