Chakula cha wagonjwa (KRCS)

Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya

Chakula cha wagonjwa (KRCS) logo
Sasisho la Mwisho: 10/8/2023

Maelezo

Huduma za Chakula

  • Kifungua kinywa kwa wagonjwa waliolazwa 
  • Chakula cha mchana 
  • Chajio 
  • Matunda na mboga safi 
  • Vyombo vya kulia chakula kama sahani, vijiko na kadhalika

Vigezo vya Kustahiki

  • Huduma hii ni kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali za KRCS hazihitaji onyesho lolote la hati
  • Huduma zinazohitaji rufaa nje ya Dadaab zinaruhusiwa kwa wakimbizi waliosajiliwa pekee

WhatsApp

Email

info@redcross.or.ke