Huduma za afya kwa ujumla-Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya (KRCS)

Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya

Huduma za afya kwa ujumla-Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya (KRCS) logo
Sasisho la Mwisho: 10/8/2023

Maelezo

Huduma za afya kwa ujumla

  • Huduma ya dharura 
  • Matibabu ya kutoka kwa daktari wa afya  
  • Barua za rufaa kwa huduma maalum 
  • Daktari wa meno (rufaa inahitajika) 
  • Daktari wa macho (rufaa inahitajika) 
  • Daktari wauzazi -wanawake (rufaa inahitajika) 
  • Mkunga 
  • Daktari wa watoto (rufaa inahitajika) 
  • Chanjo za watoto na watu wazima
  • Huduma za matibabu kwa waathirika wa dhuluma za jinsia 
  • Dawa za kuzuia mimba na mambukizi ya dharura   
  • Agizo za dawa katika matibabu  

Vipimo vya matibabu 

  • Kupima virusi vya Ukimwi 
  • Uchunguzi wa homa ya ini (Hepatitis) 

Vigezo vya kustahiki huduma

  • Huduma zinazotolewa kwa anawake pekee ni kama usaidizi wakunga, uchunguzi wa saratani ya njia ya kizazi. 
  • Madaktari wa kike wanapatikana kwenye vituo  
  • Huduma hutolewa kwa watu binafsi wa LGBTQI+ katika Kliniki ya MARPs 

Namna ya kufikia huduma

  • KRCS ina nafasi salama inayotumiwa kuhudumia mtu mmoja baada ya mwingine. 
  • Inaruhusiwa kurejelea huduma ili kuhakikisha umepokea usaidizi unaokufaa 
  • Wakalimani wa kike wanapatikana kwa lugha ya Kisomali, Kisudani, Kigambela cha Kongo na Kiethiopia 
  • Lugha: Kisomali, Kisudani, Kikongo Gambela na Kiethiopia 
  • Mkalimani ataandamana nawe hadi kwenye vituo vya huduma zingine 
  • Ufafanuzi unapatikana kwa simu ili kukusaidia kuwasiliana na watoa huduma wengine 

Email

info@redcross.or.ke

WhatsApp