Shirika la Msalaba Mwekundu - Kenya (KRCS)
Sasisho la Mwisho: 10/8/2023
Maelezo
Huduma za Jamii
- Ushauri nasaha
- Dawa
- Vifaa vya kinga ya kibinafsi
Vigezo vya kustahiki
Wanaotafuta huduma kwa rufaa wanapaswa kuwa wakimbizi waliosajiliwa na wanapaswa kubeba:
- Manifest au Proof of Registration
- Vitambulisho
Namna ya kupokea huduma
- Huduma inapatikana kwa watu binafsi na pia jamii yaa LGBTQI+