Msaada wa kisaikolojia kwa jamii- Shirika la Msalaba Mwekundu

Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya

Msaada wa kisaikolojia kwa jamii- Shirika la Msalaba Mwekundu logo
Sasisho la Mwisho: 10/8/2023

Maelezo

Msaada wa kisaikolojia kwa jamii:

 • Ushauri wa moja kwa moja
 • Ushauri wa kikundi 
 • Ushauri wa familia 
 • Msaada wa kihisia 
 • Huduma za wanasaikolojia 
 • Makundi ya watu wenye nia ya kusaidiana kisaikolojia au kimawazo 
 • Utatuaji wa migogoro katika jamii 
 • Maeneo salama na ya faragha kwa huduma za waathiriwa wa dhuluma au vurugu 
 • Kufuatilia hali ya wanaohudumiwa na shirika 

Vigezo vya kustahiki huduma za KCRS

 • Huduma ndani ya vifaa vya KRCS hazihitaji kuwepo kwa hati yoyote.. 
 • Huduma zinazohitaji rufaa nje ya Dadaab zinaruhusiwa tu kwa wakimbizi waliosajiliwa na UNHCR 

Namna ya kufikiwa wakati wa kupokea huduma

 • Wakalimani wa kike wanapatikana kwa lugha zifuatazo: Kisomali, Kisudani, Kigambela cha Kongo na Kiethiopia 
 • Lugha: Kisomali, Kisudani, Kikongo Gambela na Kiethiopia 
 • Washauri wa kike wanapatikana kwa usaidizi 
 • Huduma za wanawake pekee ni kama vile ukunga, uchunguzi wa saratani ya kizazi, MARPs 
 • Chumba cha maombi

WhatsApp

Email

info@redcross.or.ke