Msaada wa Kisaikolojia - Humanity & Inclusion (HI)
Humanity and Inclusion (HI)
Sasisho la Mwisho: 10/8/2023
Maelezo
Huduma
- Ushauri wa ana kwa ana
- Ushauri wa Kikundi
- Upatanishi wa Familia
- Usaidizi wa Kihisia
- Mwanasaikolojia
- Daktari wa akili
- Tiba
- Kikundi cha usaidizi
- Uingiliaji wa Mgogoro
- Nambari ya Usaidizi: PSEA na malalamiko
- Nafasi salama na za kibinafsi
Vigezo vya kustahiki
- Hakuna vigezo vya kustahiki
- Huduma zinazofikiwa bila marejeleo
Namna ya kufikia huduma
- Nafasi salama kwa watoto
- Kiwasilishi cha lugha ya ishara kinapatikana
- Kuingia kwa eneo hili kuna njia panda
- Eneo hili lina wafanyakazi wanawake na wanaume
- Eneo hili lina vyoo tofauti vya wanaume na wanawake
- Huduma zote zilizoorodheshwa ni za bure
- Hamna huduma wikendi na sikukuu za umma
- Hakuma miadi inayohitajika
Eneo
- Ifo 1 and Dagahaley Disability Inclusion Centers centres
Masaa ya ufunguzi
Jumatatu:08:00 AM - 05:00 PM
Jumanne:08:00 AM - 05:00 PM
Jumatano:08:00 AM - 05:00 PM
Ijumaa:08:00 AM - 05:00 PM
Alhamisi:08:00 AM - 05:00