Kakuma: Huduma za Watoto- Humanity & Inclusion (HI)

Sasisho la Mwisho: 10/8/2023
Masaa ya ufunguzi
  • Jumatatu: -8:00 - -5:00
  • Jumanne: -8:00 - -5:00
  • Jumatano: -8:00 - -5:00
  • Alhamisi: -8:00 - -5:00
  • Ijumaa: -8:00 - -5:00
Simu0800721240
Maelezo

Huduma

  • Huduma za urekebishaji wa watoto
  • Michezo isiyobagua
  • Huduma za ulinzi wa watoto

Vigezo vya kustahiki

  • Hakuna vigezo vya kustahiki
  • Huduma zinafikiwa bila marejeleo
  • Huduma hii inapatikana kwa watu wenye ulemavu  
  • Huduma hii hufungwa wakati wa kikukuu za umma
  • Hakuna miadi inayohitajika

Namna ya kufikia huduma

  • Ina maeneo salama kwa watoto
  • Kiwasilishi cha lugha ya ishara kinapatikana
  • Eneo hili lina mteremko wa kupandia na kushukia
  • Eneo hili lina wafanyakazi wa kike
  • Eneo hili lina vyoo tofauti vya wanaume na wanawake
  • Huduma zote zilizoorodheshwa ni za bure

Eneo

  • Vituo vya urekebishaji eneo za Kakuma 1,2,3 na 4 
  • Kituo cha urekebishaji cha Kalobeyei