Huduma
Mafunzo ya ufundi
Mahitaji ya Kustahiki au Vigezo vya Kupata Huduma
Ili kupata huduma hii, lazima uwe:
- Mkimbizi
- Mtafuta hifadhi (waliosajiliwa na ambao hawajasajiliwa)
- Mwanajamii wenyeji
Wakati wa kuomba huduma, unahitaji kuwa na:
- Karatasi ya uthibitisho au manifest
Maeneo ya Huduma
- Lango la eneo hili lina njia panda
- Eneo hili lina wafanyakazi wa kike
- Eneo hili lina bafu tofauti za wanaume na wanawake
- Huduma zote zilizoorodheshwa ni za bila malipo
- Vyoo vinatenganishwa kwa jinsia
- Vyoo hutumika kwa watu wanaoishi na ulemavu
- Njia za kwenda chooni zinazoruhusu kifaa cha usaidizi wa
uhamaji (kiti cha magurudumu, mikongojo)
- Kituo cha elimu kina jenereta ya kusambaza nishati