Huduma za Urekebishaji

Shirika la Lutheran World Federation (LWF), Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Dadaab

Maelezo

Huduma za urekebishaji

 • Kliniki ya kurekebisha miguu iliopinda (clubfoot)
 • Kliniki ya kiharusi (stroke)
 • Huduma za walio na shida ya mifupa na kiwewe
 • Huduma ya afyakwa watu wa rika zote ambao wana matatizo ya kimwili, hisia, au utambuzi.
 • Huduma za physiotherapy 
Wanaopokea huduma: Yeyote anayetafuta uchunguzi au rufaa kwa uchunguzi na matibabu

Huduma zinaweza kufikiwa

 • Eneo hili lina njia panda zilizopo kwenye viingilio vya idara mbalimbali
 • Eneo hili lina wafanyakazi wa kike na watendaji waliopo
 • Eneo hili lina vyoo vilivyotenganishwa vya wanaume na wanawake
 • Huduma ni bure
 • Lugha ambazo tafsiri yake inapatikana mara kwa mara katika eneo lako: Kisomali, Kiingereza na Kiswahili

Siku za kuhudumia wateja
• Kliniki ya Clubfoot: Kila jumatano

 • Kliniki ya kiharusi (stroke): Jumatatu na Alhamisi
 • Huduma ya afya kwa watu wa rika zote ambao wana matatizo ya kimwili, hisi : Kila siku kwa kesi za dharura