HAGADERA: Kifurushi cha Elimu ya Vijana - Norwegian Refugee Council (NRC)

Norwegian Refugee Council (NRC)

Sasisho la Mwisho: 4/11/2024

Maelezo

Huduma

Elimu ya Kiufundi

Mahitaji ya Kustahiki au Vigezo vya kupata huduma

Ili kupata huduma hii, lazima uwe:

  • Mkimbizi
  • Muomba hifadhi (aliyesajiliwa na asiyesajiliwa) 
  • Mwanajamii inayotoa hifadhi 

Unapotuma ombi unahitaji:

  • Kitambulisho cha Kenya
  • Cheti cha kuzaliwa cha Kenya
  • Karatasi ya uthibitisho wa usajili au manifest

Maeneo ya Huduma

  • Lango la eneo hili lina njia panda. 
  • Eneo hili lina wafanyakazi wa kike. 
  • Huduma zote zilizoorodheshwa zinatolewa bure. 
  • Idadi ya vyoo vinavyoweza kutumika katika kituo hicho
    inatosha kwa wanafunzi. 
  • Vyoo vimetenganishwa kulingana na jinsia. 
  • Kituo hiki cha elimu kina usambazaji wa umeme kupitia
    Jenereta.
     

Masaa ya ufunguzi

Jumanne:
08:00 AM - -4:00 PM
Jumatano:
08:00 AM - -4:00 PM
Jumatatu:
08:00 AM - -4:00 PM
Ijumaa:
08:00 AM - -4:00 PM
Alhamisi:
08:00 AM - -4:00 PM