- Nyumbani
- Huduma
- Taarifa
- Kuhusu
Huduma
Msaada kwa waathirika wa mateso
Msaada kwa waathirika wa usafirishaji haramu wa binadamu na utumwa
Msaada kwa waathirika wa ubaguzi
Mahitaji ya Ustahiki
Huduma zote zilizoorodheshwa hutolewa bure
Huduma hutolewa kwa wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na walionyanyaswa kijinsia na ngono
Upatikanaji wa Huduma
Huduma hupatikana pia kwa kupiga simu kwa nambari 0700865559.
Simu zinaweza kupigwa baada ya masaa ya kazi, kwa kesi za dharura.
Kwa sababu ya ugonjwa wa COVID 19, huduma za kisheria na za ushauri hufanywa kwa mikutano iliyopangwa kwa kupiga simu kwa nambari za RCK.
Mikutano ya kupanga inafanywa wakati wa masaa ya kazi na siku za kazi, Jumatatu hadi Ijumaa, Saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni, Njoo mwenyewe, Piga simu kwa nambari: +254703848641, Barua pepe: info@rckkenya.org Huduma zinapatikana bila rufaa.
Tafsiri za lugha za Oromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza, na Kiswahili zinapatikana kila wakati katika ofisi yetu.
Huduma zinapatikana katika lugha zifuatazo kwa tafsiri ya simu - Kioromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza na lugha za Kiswahili.
Watafsiri wa kike wanapatikana
Kiingilio cha pahali hapa kina njia panda
Pahala hapa pana wafanyikazi wa kike
Huduma zote zilizo orodheshwa zinatolewa bure
Wataalamu wa Wanawake wanapatikana
Huduma zinapatikana Jumatatu hadi Ijumaa: Saa 2 asubuhi – Saa 11 jioni.
Ofisi zinafungwa siku za sikukuu za umma
Utaratibu wa kutoa maoni na muda wa kujibu
Barua pepe, Kupiga simu, kwa njia ya mtandao kuja kibinafsi,
Haraka iwezekanavyo