- Nyumbani
- Huduma
- Taarifa
- Kuhusu
Masaa ya ufunguzi |
|
---|---|
Simu | +254 703848641 |
info@rckkenya.org | |
https://www.facebook.com/Refugee-Consortium-of-Kenya- | |
Website | https://www.rckkenya.org/ |
https://twitter.com/RckKenya | |
Maelezo | Huduma Ushauri wa ana kwa ana Ushauri wa kikundi Ushauri wa kifamilia Msaada wa kihisia Kikundi cha msaada Uingiliaji kati wakati wa dharura. Huduma zinazotolewa ni Pamoja na ushauri wa kiakili na ushauri wa kijumla.. Nafasi salama na iliyotengwa kwa ushauri wa ana kwa ana Kuangaliwa muda kwa muda ili kuhakikisha kuwa umepata msaada unaohitaji wataalamu wa Wanawake wanapatikana
Mahitaji ya Ustahiki Huduma zote zilizoorodheshwa hutolewa bure Huduma hutolewa kwa wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na walionyanyaswa kijinsia na ngono
Upatikanaji wa Huduma Huduma hupatikana pia kwa kupiga simu kwa nambari 0700865559. Simu zinaweza kupigwa baada ya masaa ya kazi, kwa kesi za dharura. Kwa sababu ya ugonjwa wa COVID 19, huduma za kisheria na za ushauri hufanywa kwa mikutano iliyopangwa kwa kupiga simu kwa nambari za RCK. Huduma zinapatikana bila rufaa. Mikutano ya kupanga inafanywa wakati wa masaa ya kazi na siku za kazi, Jumatatu hadi Ijumaa, Saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni, Njoo mwenyewe, Piga simu kwa nambari: +254703848641, Barua pepe: info@rckkenya.org Huduma zinapatikana bila rufaa. Tafsiri za lugha za Oromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza, na Kiswahili zinapatikana kila wakati katika ofisi yetu. Huduma zinapatikana katika lugha zifuatazo kwa tafsiri ya simu - Kioromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza na lugha za Kiswahili. Watafsiri wa kike wanapatikana Kiingilio cha pahali hapa kina njia panda Pahala hapa pana wafanyikazi wa kike Huduma zote zilizo orodheshwa zinatolewa bure Wataalamu wa Wanawake wanapatikana Huduma zinapatikana Jumatatu hadi Ijumaa: Saa 2 asubuhi – Saa 11 jioni. Ofisi zinafungwa siku za sikukuu za umma
Utaratibu wa kutoa maoni na muda wa kujibu Barua pepe, Kupiga simu, kwa njia ya mtandao kuja kibinafsi, Haraka iwezekanavyo |