- Nyumbani
- Huduma
- Taarifa
- Kuhusu
Masaa ya ufunguzi |
|
---|---|
Simu | +254 703848641 |
info@rckkenya.org | |
https://twitter.com/RckKenya | |
Website | https://www.rckkenya.org/ |
https://www.facebook.com/Refugee-Consortium-of-Kenya- | |
Maelezo | Huduma Ushauri wa ana kwa ana Ushauri wa kikundi Ushauri wa kifamilia Msaada wa kihisia Kikundi cha msaada Uingiliaji kati wakati wa dharura
Mahitaji ya Ustahiki Huduma zote zilizoorodheshwa hutolewa bure Huduma hutolewa kwa wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na walionyanyaswa kijinsia (SGBV). Mikutano hupangwa wakati wa masaa ya kazi na siku za kazi, Jumatatu hadi Ijumaa, Saa 2 asubuhi hadi Saa 11 jioni - Kesi za dharura ambazo hutokea nje ya masaa rasmi ya ofisi huzingatiwa.
Upatikanaji wa Huduma Huduma hupatikana pia kwa kupiga simu kwa nambari 0703848641. Simu zinaweza kupigwa baada ya masaa ya kazi, kwa kesi za dharura. Kwa sababu ya ugonjwa wa COVID 19, huduma za kisheria na za ushauri hufanywa kwa mikutano iliyopangwa kwa kupiga simu kwa nambari iliyotolewa. Huduma zinapatikana bila rufaa. Huduma za nambari ya usaidizi -– 0703848641 – zinazotolewa ni pamoja na ushauri Wa kiakili na wa kijumla. Nafasi salama na iliyotengwa kwa ushauri wa ana kwa ana Kuangaliwa muda kwa muda ili kuhakikisha kuwa umepata msaada unaohitaji Tafsiri ya lugha za Oromo, Somali, Sudani Kusini, Kiingereza, na Kiswahili hupatikana kila wakati katika majengo yetu. Huduma zinapatikana katika lugha zifuatazo kwa tafsiri ya simu - Kioromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza na lugha za Kiswahili. Watafsiri wa kike wanapatikana Kiingilio cha pahali hapa kina njia panda Pahala hapa pana wafanyikazi wa kike Huduma zote zilizo orodheshwa zinatolewa bure Huduma zinapatikana Jumatatu hadi Ijumaa: Saa 2 asubuhi – Saa 11 jioni. Ofisi zinafungwa siku za sikukuu za umma Simu zinaweza kupigwa nje ya masaa ya kazi, kwa kesi za dharura. Kwa sababu ya ugonjwa wa COVID 19, huduma za kisheria na za ushauri hufanywa kwa mikutano iliyopangwa kwa kupiga simu kwa nambari za RCK.
Utaratibu wa kutoa maoni na muda wa kujibu Simu, barua pepe, ana kwa ana. Haraka iwezekanavyo |