- Nyumbani
- Huduma
- Taarifa
- Kuhusu
Huduma
Ushauri wa kisheria
Uwakilishi katika mahakama na vituo vya polisi
Uwakilishaji katika kesi za dhuluma ya kijinsia na ngono
Habari kuhusu haki zako
Habari kuhusu utaratibu kwa kuomba hifadhi nchini Kenya
Usaidizi wa kujaza hati za kisheria
Kusindikizwa kwa mikutano ya kisheria au kiutawala - kwa maswala yanayohusiana na uhamiaji, dhuluma ya kijinsia na ngono, na Watoto
Usaidizi wa kujitayarisha kwa mahojiano ya kuomba hifadhi nchini
Uwakilishi wa kisheria katika korti na vituo vya polisi
Kesi za jinai
Vyeti vya kuzaliwa, kifo na vyeti vingine vya kibinafsi
Migogoro ya familia
Huduma za kisheria kwa waathiriwa wa vita
Huduma za kisheria kwa waliotiwa mbaroni
Huduma za kisheria kwa wasio raia wan chi yoyote
Rufaa kwa wanasheria
Mahitaji ya Ustahiki
Huduma zote zilizoorodheshwa hutolewa bure
Huduma hutolewa kwa wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na walionyanyaswa kijinsia (SGBV).
Mikutano hupangwa wakati wa masaa ya kazi na siku za kazi, Jumatatu hadi Ijumaa, Saa 2 asubuhi hadi Saa 11 jioni - Kesi za dharura ambazo hutokea nje ya masaa rasmi ya ofisi huzingatiwa.
Upatikanaji wa Huduma
Huduma hupatikana pia kwa kupiga simu kwa nambari 0703848641.
Simu zinaweza kupigwa baada ya masaa ya kazi, kwa kesi za dharura.
Kwa sababu ya ugonjwa wa COVID 19, huduma za kisheria na za ushauri hufanywa kwa mikutano iliyopangwa kwa kupiga simu kwa nambari iliyotolewa. Huduma zinapatikana bila rufaa.
Tafsiri za lugha za Oromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza, na Kiswahili zinapatikana kila wakati katika ofisi yetu.
Huduma zinapatikana katika lugha zifuatazo kwa tafsiri ya simu - Kioromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza na lugha za Kiswahili.
Watafsiri wa kike wanapatikana
Kiingilio cha pahali hapa kina njia panda
Pahala hapa pana wafanyikazi wa kike
Huduma zinapatikana Jumatatu hadi Ijumaa: Saa 2 asubuhi – saa 11 jioni. Ofisi zinafungwa siku za sikukuu za umma. Simu zinaweza kupigwa nje ya masaa ya kazi, kwa kesi za dharura.
Kwa sababu ya ugonjwa wa COVID 19, huduma za kisheria na za ushauri hufanywa kwa mikutano iliyopangwa kwa kupiga simu kwa nambari za RCK.
Njia na wakati wa kutoa maoni
Simu, barua pepe, ana kwa ana.
Haraka iwezekanavyo