Habari kuhusu wapi na jinsi ya kupata, na usaidizi wa kufanya upya hati kama vile kibali cha kufanya kazi na leseni ya udereva; Habari kuhusu kuishi Kenya; na Habari kuhusu huduma za mitaani. - Refugee Consortium of Kenya

Refugee Consortium of Kenya

Maelezo

Huduma 

Habari kuhusu kuishi Kenya 

Habari kuhusu huduma za mitaani

Habari kuhusu pahali na njia ya kupata nyaraka kama vile kibali cha kufanya kazi, leseni ya udereva

Usaidizi wa kufanya upya nyaraka


Mahitaji ya Ustahiki

Huduma zote zilizoorodheshwa zinatolewa bure

Huduma hutolewa kwa wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na manusura wa unyanyasaji wa kijinsia (SGBV) (wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na Jamii inayotoa hifadhi kwa wakimbizi


Upatikanaji

Huduma zinatolewa kwa lugha za Kingereza na Kiswahili. Huduma za utafsiri katika lugha za wakimbizi zinapatikana kwa usadizi wa mtafsiri. Huduma zinapatikana bila rufaa.

Tafsiri za lugha za Oromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza, na Kiswahili zinapatikana kila wakati katika ofisi yetu.

Huduma zinapatikana katika lugha zifuatazo kwa tafsiri ya simu - Kioromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza na lugha za Kiswahili.

Watafsiri wa kike wanapatikana

Kiingilio cha pahali hapa pana njia panda

Pahala hapa pana wafanyikazi wa kike

Huduma zote zilizoorodheshwa hutolewa bure

Ofisi zinafunguliwa Jumatatu hadi Ijumaa: Saa 2 asubihi hadi saa 11 jioni.

Ofisi zinafungwa siku za sikukuu za umma. Simu zinawezwa kupigwa baada ya masaa ya kazi, kwa kesi za dharura. Kwa sababu ya ugonjwa wa COVID 19, huduma za kisheria na ushauri hufanywa kupitia miadi kwa kupiga namba za RCK. Mkutano unawezwa kupangwa na mtu binafsi kuja ofisini wakati wa masaa ya kazi Saa 2 asubuhi – Saa 11 jioni Jumatatu hadi Ijumaa, kwa njia ya simu wakati wa masaa ya kazi Saa 2 asubuhi – Saa 11 jioni Jumatatu hadi Ijumaa, kwa njia ya barua pepe info@rckkenya.org, au kwa Kupiga simu kwa nambari +254 703848641.


Kutoa Maoni Kuhusu Huduma

Nambari za simu: +254733860669, +254720943164 Ofisi Kuu: Haki House, Barabara ya Ndemi, kando ya Barabara ya Muringa, Kilimani, Nairobi. Barua pepe, Kupiga simu, kwa njia ya mtandao kuja kibinafsi,

Haraka iwezekanavyo

Masaa ya ufunguzi

Jumatatu:
08:00 AM - 05:00 PM
Jumatano:
08:00 AM - 05:00 PM
Jumanne:
08:00 AM - 05:00 PM
Ijumaa:
08:00 AM - 05:00 PM
Alhamisi:
08:00 AM - 05:00 PM