- Nyumbani
- Huduma
- Taarifa
- Kuhusu
Maelezo | Huduma · Migogoro ya kifamilia · Taratibu za talaka · Utoaji wa vyeti vya talaka · Utoaji wa vyeti vya Ndoa Mahitaji ya ustahiki · Maswala ya talaka na ndoa kuhusu wenzi wa Kiislamu yanahukumiwa na Jaji Khadi · Wawakilishi wa ADR wanapatikana pia katika kambi zote · Msaada wa kisheria na ushauri pia unapatikana katika ofisi za Wakimbizi Kenya (RCK) · Jaji Khadi pia atoa vyeti vya ndoa Usajili wa Ndoa Usajili wa Ndoa - Vyeti |
---|