Service Image

Imesasishwa saa: 2023/02/16

Huduma Nyingine za afya

  • Msaada kwa watu walioathirika na matumizi ya dawa ya kulevya au pombe 
  • Huduma kwa watu wanaoishi na UKIMWI 
  • Ushauri nasaha kuhusu jinsi ya kuzuia virusi vya UKIMWI magonjwa ya zinaa  
  • Huduma kwa watoto ambao hawajaandama na na walezi au wazazi wao
  • Msaada kwa watu wenye ulemavu na/au mahitaji maalum 
  • Usimamizi wa kesi kwa wagonjwa wa kiakili 

Vigezo vya kupokea huduma

  • Huduma ndani za KRCS hazihitaji onyesho lolote la hati
  • Huduma zinazohitaji rufaa nje ya Dadaab zinaruhusiwa kwa wakimbizi waliosajiliwa pekee

Namna ya kufikiwa na wahudumu

  • Huduma kwa wanawake wajawazito 
  • Huduma kwa akina mama wachanga 

Fungua 24/7.

Maelezo ya Mawasiliano

email: info@redcross.or.ke

phone: 254110483063

website: https://www.redcross.or.ke

whatsapp: 254110483063

Anwani

IFO 2 Camp Dadaab Subcounty, Dadaab Ward in Garissa County

0
0

Bonyeza hapa kuona anwani katika Ramani za Google.