Imesasishwa saa: 2021/06/25

Huduma

Ushauri wa ana kwa ana

Ushauri wa kikundi

Ushauri wa kifamilia

Msaada wa kihisia

Kikundi cha msaada

Uingiliaji kati wakati wa dharura

 

Mahitaji ya Ustahiki

Huduma zote zilizoorodheshwa hutolewa bure

Huduma hutolewa kwa wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na walionyanyaswa kijinsia (SGBV). Mikutano hupangwa wakati wa masaa ya kazi na siku za kazi, Jumatatu hadi Ijumaa, Saa 2 asubuhi hadi Saa 11 jioni - Kesi za dharura ambazo hutokea nje ya masaa rasmi ya ofisi huzingatiwa.

 

Upatikanaji wa Huduma

Huduma hupatikana pia kwa kupiga simu kwa nambari 0703848641.

Simu zinaweza kupigwa baada ya masaa ya kazi, kwa kesi za dharura.

 Kwa sababu ya ugonjwa wa COVID 19, huduma za kisheria na za ushauri hufanywa kwa mikutano iliyopangwa kwa kupiga simu kwa nambari iliyotolewa.

Huduma zinapatikana bila rufaa.

Huduma za nambari ya usaidizi -– 0703848641 – zinazotolewa ni pamoja na ushauri

Wa kiakili na wa kijumla.

Nafasi salama na iliyotengwa kwa ushauri wa ana kwa ana

Kuangaliwa muda kwa muda ili kuhakikisha kuwa umepata msaada unaohitaji

Tafsiri ya lugha za Oromo, Somali, Sudani Kusini, Kiingereza, na Kiswahili hupatikana kila wakati katika majengo yetu.

Huduma zinapatikana katika lugha zifuatazo kwa tafsiri ya simu - Kioromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza na lugha za Kiswahili.

Watafsiri wa kike wanapatikana

Kiingilio cha pahali hapa kina njia panda

Pahala hapa pana wafanyikazi wa kike

Huduma zote zilizo orodheshwa zinatolewa bure

Huduma zinapatikana Jumatatu hadi Ijumaa: Saa 2 asubuhi – Saa 11 jioni.

Ofisi zinafungwa siku za sikukuu za umma

Simu zinaweza kupigwa nje ya masaa ya kazi, kwa kesi za dharura.

Kwa sababu ya ugonjwa wa COVID 19, huduma za kisheria na za ushauri hufanywa kwa mikutano iliyopangwa kwa kupiga simu kwa nambari za RCK.

 

 

Utaratibu wa kutoa maoni na muda wa kujibu

Simu, barua pepe, ana kwa ana.

Haraka iwezekanavyo

Kufungua Saa

Jumatatu kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Jumanne kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Jumatano kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Alhamisi kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Ijumaa kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Anwani

Dadaab Office, Hagadera camp