Imesasishwa saa: 2021/06/25

Huduma 

Habari za Haki

Ushauri wa Kisheria 

Uwakilishi wa kisheria katika mchakato wa Uamuzi wa Hali ya Ukimbizi, na katika kesi zinazohusiana na uhamiaji.

Utatuzi mbadala wa mizozo

Uwakilishaji katika kesi za unyanyasaji wa kijinsia

Huduma za kisheria kwa watu walioko kizuizini, kama vile ufuatiliaji wa kifungo na kutiwa mbaroni katika vituo vya polisi na mipakani

Msaada wa kuomba vibali vya kufanya kazi au leseni

Kesi za Watoto: Uandishi wa maagizo ya utunzaji wa watoto na nyaraka zingine za kisheria.

Utetezi na msaada katika kukagua Miswada / Sheria / Kanuni zinazoathiri wakimbizi na wanaotafuta hifadhi.

Huduma za kisheria kwa waathiriwa wa unyanyasaji: mkutano wa kabla ya kesi kwa waathirika wa unyanyasaji wa kijinsia 

Kuhusika kisheria kupitia vikao vya mara kwa mara vya utetezi na mafunzo ya kisheria. 

Msaada wa kujaza hati na nyaraka za kisheria

Kusindikizwa kwa mikutano ya kisheria au kiutawala kwa maswala yanayohusiana na uhamiaji, Watoto

Usaidizi wa kujiandaa kwa mahojiano ya kutaka hifadhi.

Uwakilishi wa kisheria katika mahakama na vituo vya polisi

Kesi za jinai

Vyeti vya kuzaliwa, vya ndoa, vva kifo ama vyeti vingine vya kibinafsi 

Migogoro ya kifamilia

Msaada wa kisheria kwa wasio na uraia wa nchi yoyote. 

Rufaa kwa mawakili

Mahitaji ya Ustahiki na Upatikanaji

Huduma zote zilizoorodheshwa hutolewa bure

Huduma hutolewa kwa wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na walionyanyaswa kijinsia (wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na Jamii inayotoa hifadhi kwa wakimbizi)

Huduma zinatolewa kwa lugha za Kingereza na Kiswahili

Huduma za utafsiri katika lugha za wakimbizi zinapatikana kwa usadizi wa mtafsiri.

Huduma zinapatikana bila rufaa

Tafsiri za lugha za Oromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza, na Kiswahili zinapatikana kila wakati katika ofisi yetu.

Huduma zinapatikana katika lugha zifuatazo kwa tafsiri ya simu - Kioromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza na lugha za Kiswahili.

Watafsiri wa kike wanapatikana 

Kiingilio cha pahali hapa pana njia panda 

Pahala hapa pana wafanyikazi wa kike

Huduma zote zilizoorodheshwa hutolewa bure 

Ofisi zinafunguliwa Jumatatu hadi Ijumaa: Saa 2 asubihi hadi saa 11 jioni. 

Ofisi zinafungwa siku za sikukuu za umma. Simu zinawezwa kupigwa baada ya masaa ya kazi, kwa kesi za dharura. Kwa sababu ya ugonjwa wa COVID 19, huduma za kisheria na ushauri hufanywa kupitia miadi kwa kupiga namba za RCK. Mkutano unawezwa kupangwa na mtu binafsi kuja ofisini wakati wa masaa ya kazi Saa 2 asubuhi – Saa 11 jioni Jumatatu hadi Ijumaa, kwa njia ya simu wakati wa masaa ya kazi Saa 2 asubuhi – Saa 11 jioni Jumatatu hadi Ijumaa, kwa njia ya barua pepe info@rckkenya.org, au kwa Kupiga simu kwa nambari +254 703848641.

Kutoa Maoni Kuhusu Huduma

Nambari za simu: +254733860669, +254720943164 Ofisi Kuu: Haki House, Barabara ya Ndemi, kando ya Barabara ya Muringa, Kilimani, Nairobi. Barua pepe, Kupiga simu, kuja kibinafsi,

Haraka iwezekanavyo

Kufungua Saa

Jumatatu kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Jumanne kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Jumatano kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Alhamisi kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Ijumaa kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Anwani

Nairobi City, Kilimani, Ndemi Road, Off Muringa Road, Haki House.