Imesasishwa saa: 2021/06/25

Huduma  

·        Migogoro ya kifamilia  

·        Taratibu za talaka 

·        Utoaji wa vyeti vya talaka  

·        Utoaji wa vyeti vya Ndoa 

Mahitaji ya ustahiki  

·        Maswala ya talaka na ndoa kuhusu wenzi wa Kiislamu yanahukumiwa na Jaji Khadi  

·        Wawakilishi wa ADR wanapatikana pia katika kambi zote  

·        Msaada wa kisheria na ushauri pia unapatikana katika ofisi za Wakimbizi Kenya (RCK)  

·        Jaji Khadi pia atoa vyeti vya ndoa Usajili wa Ndoa Usajili wa Ndoa - Vyeti 

Anwani

Dadaab Refugee Camp, Dadaab, Kenya