Service Image

Imesasishwa saa: 2023/11/03

Huduma zinazopeanwa

 • Usaidizi wa kujiandikisha katika Shule: Taarifa kuhusu usaidizi wa WIK katika elimu ya Shule ya Sekondari. 
 • Kusaidia Kupata Programu za Elimu zilizo ndani ya WIK. 
 • Usaidizi wa kupata ufadhili wa masomo: Taarifa kuhusu udhamini unaopatikana wa ufundi na Kiwango cha juu 

Vigezo vya kuhitimu

Vigezo vya kustahiki masomo ya elimu ya juu

 • Uwe na hati halali ya mkimbizi (uwe na kitambulisho cha mkimbizi cha GoK/Kadi ya kusubiri na hati ya ulinzi ya UNHCR, kadi ya kitambulisho cha Kitaifa kwa walengwa kutoka kwa jumuiya mwenyeji. 
 • Kuwa na Miaka 28 na chini wakati wa maombi 
 • Kuwa na hati asili za kitaaluma kutoka kwa taasisi ya kitaaluma inayotambuliwa 
 • Onyesha hitaji la kifedha la elimu na mchango mkubwa kwa jamii 
 • Usifaidike na udhamini mwingine wowote wakati wa maombi 
 • Usiwe kwa mchakato wa uhamishaji wa mara moja 

Mahitaji ya Kiakademia

 • Kozi ya Shahada: Kima cha chini cha KCSE C+ (Au sawa) kwa Waombaji wa Kike na B- kwa waombaji wa Kiume 
 • Kozi ya Diploma: Kima cha Chini cha KCSE C Plain (Au sawa) kwa waombaji wa Kike na C+ kwa waombaji wa Kiume. 

Mahitaji ya Masomo ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Masomo

 • Kozi ya Diploma: Kiwango cha Chini zaidi cha KCSE C Plain (Au sawa) 
 • Cheti: Kima cha chini cha KCSE C- (Minus)

Jinsi ya kufikiwa

 • Eneo hili lina wafanyakazi wa kike 
 • Mahali hapa pana bafu tofauti kwa wanaume na wanawake 
 • Huduma zote zilizoorodheshwa ni za bure 
 • Lugha ya Ishara Inapatikana 
 • Wakalimani wa Kike wanapatikana 

Siku na wakati wa ufikiaji

Jumatatu-Ijumaa: 8.30 A.M hadi 4.30 PM 

Huduma haipatikani wakati wa likizo ya umma 

Taarifa ya Miadi:

 • Miadi inaweza kuhitajika kwa huduma maalum
 • Njoo kibinafsi ndani ya saa za kazi.
 • Piga simu afisi/mhusika husika ndani ya saa za kazi. Simu: 0708 988 631

Eneo

Ofisis ya Dadaab: 

Ofisi 1: Ndani ya ofisi za pale DMO  

Office 2: Ndani ya Kiwanja cha chuo kikuu cha Kenyatta, Dadaab

Maelezo ya Mawasiliano

email: windle@windle.org

email: protection@windle.org

email: integrity@windle.org

phone: 254720708346

phone: 0800720386

Anwani

Windle International Kenya (WIK), Dadaab Main Office

0.058175828699101
40.30952106720099

Bonyeza hapa kuona anwani katika Ramani za Google.