Service Image

Imesasishwa saa: 2023/08/28

Huduma Zinazotolewa

 • Maelezo kuhusu haki zako 
 • Maelezo kuhusu jinsi ya kutafuta hifadhi katika nchi yako 
 • Mshauri wa kisheria 
 • Kusaidia kujaza fomu za kisheria 
 • Kuandamana na wewe kwenye mikutano ya kisheria au ya utawala 
 • Kusaidia kujiandaa kwa mahojiano ya hifadhi 
 • Uwakilishi wa kisheria 
 • Kukata rufaa dhidi ya maamuzi hasi kuhusu maombi yako ya hifadhi 
 • Kesi za jinai 
 • Kesi za kiraia 
 • Mizozo ya kifamilia, taratibu za talaka 
 • Msaada katika kesi za kuunganisha familia 
 • Huduma za kisheria kwa kesi za ubaguzi 
 • Huduma za kisheria kwa wahanga wa ukatili 
 • Huduma za kisheria kwa watu waliozuiliwa 
 • Huduma za kisheria kwa watu wasio na uraia 
 • Marejeo kwa mawakili 
 • Kusaidia kuomba hati za kusafiri

Vigezo vya kuhitimu

 • Wateja wote wanapaswa kuwa wakimbizi/watafuta hifadhi

Jinsi ya kufikiwa

 • Nafasi salama na ya faragha kwa ushauri binafsi 
 • Ufuatiliaji wa mara kwa mara ili kuhakikisha unapata msaada unaohitaji. 
 • Mhudumu wa tafsiri atakuandamana kwenda kwa watoa huduma wengine 
 • Tafsiri inapatikana kupitia simu ili kukusaidia kuwasiliana na watoa huduma wengine 
 • Tafsiri zinapatikana kwa lugha zifuatazo: Kisomali, KiOromo, KiDinka, KiNuer, KiAmhara, Kiswahili, Kiingereza 
 • Wahudumu wa kike wapo kwa ajili ya lugha zilizotajwa hapo juu 
 • Hakuna huduma ya lugha ya ishara inapatikana 
 • Mlango wa kuingia katika eneo hili una njia ya kupandia 
 • Eno hili lina wafanyakazi wa kike

Siku na wakati wa ufikiaji

 • Jumatatu-ijumaa :8am-5pm
 • Muda wa kutoa maoni: Chini ya masaa 24
 • Nambari ya usaidizi: 0700865559 

Mahali pa muda wanakopatikana RCK: Ofisi za HI-Kambi ya IFO 2

Maelezo ya Mawasiliano

phone: 254703848641

phone: 254705862534

twitter: https://twitter.com/RCKKenya

website: https://www.rckkenya.org/

0.0467459
40.3019466

Bonyeza hapa kuona anwani katika Ramani za Google.