Service Image

Imesasishwa saa: 2023/02/15

Huduma za maji na usafi wa mazingira (WASH)

  • Vvyoo 
  • Bafu 
  • Huduma za kufua 
  • Nepi 

Vigezo vya Kuhudumiwa

  • Huduma ndani ya hospitali za KRCS hazihitaji onyesho lolote la hati
  • Huduma zinazohitaji rufaa nje ya Dadaab zinaruhusiwa kwa wakimbizi waliosajiliwa pekee

Namna ya kufikiwa

  • Vyoo tofauti vinapatikana kwa wanawake pekee 
  • Mahali pa kuogea tofauti zinapatikana kwa wanawake pekee 

Fungua 24/7.

Maelezo ya Mawasiliano

email: info@redcross.or.ke

phone: 254110483063

website: https://www.redcross.or.ke

whatsapp: 254110483063

Anwani

IFO 2 Camp Dadaab Subcounty, Dadaab Ward in Garissa County

Bonyeza hapa kuona anwani katika Ramani za Google.