Imesasishwa saa: 2021/06/25

Huduma

Kesi za ulezi, Uwakilishi katika masuala ya unyanyasaji wa kijinsia, na Ushauri Nasaha

 

Mahitaji ya Ustahiki

Huduma zote zilizoorodheshwa hutolewa bure.

Huduma hutolewa kwa wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na walionyanyaswa kijinsia (SGBV) (wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na Jamii inayotoa hifadhi kwa wakimbizi)

 

Upatikanaji

Huduma zinatolewa kwa lugha za Kingereza na Kiswahili. Huduma za utafsiri katika lugha za wakimbizi zinapatikana kwa usadizi wa mtafsiri. Huduma zinapatikana bila rufaa.

Tafsiri za lugha za Oromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza, na Kiswahili zinapatikana kila wakati katika ofisi yetu.

Huduma zinapatikana katika lugha zifuatazo kwa tafsiri ya simu - Kioromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza na lugha za Kiswahili.

Watafsiri wa kike wanapatikana

Kiingilio cha pahali hapa kina njia panda

Pahala hapa pana wafanyikazi wa kike

Huduma zote zilizoorodheshwa hutolewa bure

Huduma zinatolewa kutoka Jumatatu hadi Ijumaa: Saa 2 asubihi hadi saa 11 jioni.

Ofisi zinafungwa siku za sikukuu za umma. Simu zinawezwa kupigwa baada ya masaa ya kazi, kwa kesi za dharura. Kwa sababu ya ugonjwa wa COVID 19, huduma za kisheria na ushauri hufanywa kupitia miadi kwa kupiga namba za RCK. Mkutano unawezwa kupangwa na mtu binafsi kuja ofisini wakati wa masaa ya kazi Saa 2 asubuhi – Saa 11 jioni Jumatatu hadi Ijumaa, kwa njia ya simu wakati wa masaa ya kazi Saa 2 asubuhi – Saa 11 jioni Jumatatu hadi Ijumaa, kwa njia ya barua pepe info@rckkenya.org, au kwa Kupiga simu kwa nambari +254 703848641.

 

Njia ya wakati wa kutoa maoni

Kutoa maoni kwa njia ya simu: +254733860669, +254720943164 Ofisi: Haki House

Barabara ya Ndemi, kando ya Barabara ya Kilimani, Nairobi. Simu, barua pepe, kuja ofisini binafsi.

Majibu kwa maoni yanatolewa haraka iwezekanavyo.

Kufungua Saa

Jumatatu kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Jumanne kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Jumatano kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Alhamisi kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Ijumaa kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Anwani

Haki House, Ndemi Road, Off Muringa Road, Kilimani, Nairobi